Mechi saba za NBC PL zahairishwa kupisha mechi ya kirafiki ya Kimataifa

Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye pichaView attachment 2849869
Mechi ya kimataifa kivipi? Zanzibar ni nchi?

Kuna Faisal Toto na Mudathir Yahya si wachezaji wa Tanzania?

Ndo maana sishangai kuna wanaosema ni siasa.

Kaazi kweli kweli.
 
Mechi ya kimataifa kivipi? Zanzibar ni nchi?

Kuna Faisal Toto na Mudathir Yahya si wachezaji wa Tanzania?

Ndo maana sishangai kuna wanaosema ni siasa.

Kaazi kweli kweli.
Ukishapata jibu la hilo swali lako litunze kesho unywee chai
 
January 4 Sisi Igembensabo tunawataka hao Tanzania hapa Ali Hassan Mwinyi stadium.
 
Bodi ya ligi ni wanaharibu sana mpira leo boxing day tushazoea gemu wao wamekuja na mguu wao mpya zipo Timu zimecheza mechi 14 na zingine 10 harafu bado wanaendelea kupoteza muda ili huko mbele watu wapange matokeo...
 
Mechi ijayo ya Yanga v Simba, itapigwa uwanja wa Amaan,
Mpaka Benjamin Mkapa uwe tayari, Zanzibar itakuwa imejitangaza vya kutosha.

Siasa Siasa Siasa
Hizi habari ni za kweli? Mbugi litapigwa znz?
 
Hapa kuna timu zinabebwa ili zicheze hizi mechi zikiwa zimeshasajili
Si useme tu ..... Benchika angecheza na Azam kipindi kabla haijahairishwa mara ya kwanza hii ni mara ya pili inahairishwa asingekula Christmas bongo .... Washukuriwe TFF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…