Mimiwikolo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 218
- 19
asante mkuuDa link sina Ila serengeti wanaongoza 1- 0 mechi inarushwa live na azam tv
Shukran vipi matokeo ya mwisho?Da link sina Ila serengeti wanaongoza 1- 0 mechi inarushwa live na azam tv
Hii nchi ya kipuuzi sana kwenye suala la uzalendo, hasa hizi TV zikiongozwa na TBC hovyooooo...hivi hii TBC1 ipo kwa Maslahi ya Nani?????
Cha msingi waangalie future yao wasisubiri ujinga wa viongozVijana wamepambana sana wamecheza pungufu kwa zaidi ya dakika hamsini na wameshinda goli mbili bila pongezi kwao.