Mechi Serengeti Boys vs.South

Mechi Serengeti Boys vs.South

Mimiwikolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
218
Reaction score
19
Please naomba link ya mechi ya Serengeti Boys na South nichek online
 
Da link sina Ila serengeti wanaongoza 1- 0 mechi inarushwa live na azam tv
 
Vijana wamepambana sana wamecheza pungufu kwa zaidi ya dakika hamsini na wameshinda goli mbili bila pongezi kwao.
 
Back
Top Bottom