Mechi ya Al Ahly vs Simba ichunguzwe

NAOGOPA SANA NYUZI KAMA HIZI.

ILA FIFA WANADISCOURAGE SANA UPANGAJI WA MATOKEO.

Dhambi kubwa KULIKO zote kwenye Mpira wa Miguu ni upangaji wa MATOKEO.
 
Ukweli uko wazi Al Ahly ni Mlima mrefu sana kwa Simba ambayo ni underdog! Jana Al Ahly walifanya kama vile Chui akishamlegeza swala anaacha wanawe wacheze nae!! Swala akitaka kutoroka anamuwahi na kumtuliza Tena!!

Al Ahly walionesha wanauwezo wa kufunga goli muda wanaotaka na lengo lao Jana ilikuwa mechi iishe kwa suluhu tu wasiiaibishe Simba, Sasa Makolo walipokukuruka na kufunga goli jamaa wakaona hawa mbumbumbu watatuaibisha wakarudisha goli fasta na kuendelea na masihara Yao!!

Sote tulijua na tulishasema mechi za Simba super cup ni mbili tu ila Makolo walishupaza mishipa ya shingo!

Dume la Mamba halijawahi kusafiri peke yake, pembeni yake daima Huwa Kuna kenge wanamsindikiza huku wakimbebea mizigo yake!!

Huu ni muda Sasa tuhamie kuzungumzia Yanga tunacheza ijumaa na tawi letu la Singapore Big Stars ushindi ni kawaida tu!! Mambo ya Al Ahly yameisha kama tulivyotabiri, Makolokwinyo tupumzusheni na stori za kale za ligi ya wababe wa super cup!
 
NAOGOPA SANA NYUZI KAMA HIZI.

ILA FIFA WANADISCOURAGE SANA UPANGAJI WA MATOKEO.

Dhambi kubwa KULIKO zote kwenye Mpira wa Miguu ni upangaji wa MATOKEO.
Sheria ipo kwa ajiri ya wasiokua na uwezo wa kuivunja
 
Ile ilikuwa fixed mzee... Ndio maana Aly Ahly walikuwa hawana pressure na matokeo!, Kocha wa Simba baada ya kuweka wafungaji apate matokeo yeye anatoa wafungaji anaweka beki😅😅
 
Namimi nilihisi hii kitu inaweza kutokea...kwamba wale wa alahly win waliumia...over 2.5 nako ni maumivu...watu wajifikirie iyo zawadi ya African super league inakotolewa itarudije???na ni mashindano ya mda mfupi...drama zitaendelea
Ile ilikuwa fixed mzee... Ndio maana Aly Ahly walikuwa hawana pressure na matokeo!, Kocha wa Simba baada ya kuweka wafungaji apate matokeo yeye anatoa wafungaji anaweka beki😅😅
 
Kumbukeni hayo mashindano pesa inatumika, lazima irudi kwa style hio, hata draw ya Mamelodi sundowns na wale wa Angola ni muendelezo wa drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…