Mechi ya Al ahly vs Simba tunaangalia wapi?

Mechi ya Al ahly vs Simba tunaangalia wapi?

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,292
Reaction score
7,867
Wapenda sport wenzangu mnatambua kuwa kesho 2/2/2019 kuna mchezo kule Misri. Sijaona Chanel ya TV ikijinasibu kuturushia matangazo hayo mubashara kama ilivyokuwa kule Congo. Hivi ni Chanel gani au site ipi itarusha matangazo, kama ni king'amuzi cha Dstv, azam tv, startime ni chanel namba ngapi? Atakayekuwa na link ya site utuwekee pia

Barafu la moto
 
Mkiambiwa ungeni mkono kampuni ya kitanzania azam tv mnabwela kwa taarifa yako mechi itakuwa mbashara kupitia chennel ya zbc2 wema unaoendelea kupitia kingamzi cha azam kuanzia saa tatu na nusu uchambuzi na mtanange rasmi ni saa nne kamili usiku. Nunua kifurushi cha 18000 tu upate uondo wa soka na ushuhudie mbumbumbu fc akila 11uko misri.
 
Asante kwa kuuliza na Asante kwa majibu. Nimeiona imo kwenye ratiba ya SS4 ya Dstv.
 
Natamani niangalie As vita vs waalgeria sijui inaonyeshwa channel gani?
 
Wale walevi wao watoro wamekosa kunywaji na ma something kule Alexandria.
 
Back
Top Bottom