joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Leo Kuna tano nyingine, mnyama kala la pili dk ya 21.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zishafika 5 mkuuLeo Kuna tano nyingine, mnyama kala la pili dk ya 21.
Asantee marketing manager umefanya kaz vizur LeoMkiambiwa ungeni mkono kampuni ya kitanzania azam tv mnabwela kwa taarifa yako mechi itakuwa mbashara kupitia chennel ya zbc2 wema unaoendelea kupitia kingamzi cha azam kuanzia saa tatu na nusu uchambuzi na mtanange rasmi ni saa nne kamili usiku. Nunua kifurushi cha 18000 tu upate uondo wa soka na ushuhudie mbumbumbu fc akila 11uko misri.
Ushabiki weka pembeni kwani walifikili watashinda leo?