Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

Ila hao jamaa wana figisu

Mwanzo walisema kiingilio 10K walipoona kuna kampeni za kubeba mashabiki zikionesha mabasi 6 yamejaa wakaongeza bei.

Kutoka kwenye 10K ikawa 20K

Na saizi kulikuwa na tetesi za kuongeza bei zaidi kwenye kiingilio iwe zaidi ya 20K.
 
Mashabiki wataishia kuangalia mpira hotelini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu hawajiamini kama vp waweke hata leo tumalizane nao waje huku tuna wasubiria. Mpira wa Africa sometimes una mambo ya kijinga,ila uzuri mechi inafanyikia Rwanda kule kuna watanzania kibao, hata wakitangaza laki moja watu wataenda.
 
Mambo mengine hua mnatafta aibu za bure yaani unatumia sofascore kama source , ambayo wanaonyesha El Melek wana cheza jpili na Academica ! kwanini usiende kweye reliable source?
 
Hizo habari hua mnazitoa wapi? tickets zisha anza kuuzwa zinapanda bei kwa mfumo gani? mimi nipo Kigali au zimepanda bei huko Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…