Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

Unachokizungumzia wewe ni mazoea na sio uhalisia.

Huku mtaani hadi Noah zinabeba wanafunzi na zimeandikwa school bus.

School bus ni neno ambalo linatumika kama utambulisho tu ni kama oil station zilivyozoeleka kuitwa sheli.
Mtaani kwetu Noah zimeandikwa School Van sio Bus
 
kama Noah ni bus labda ni aina mpya ya bus
Hiace na Costa ni the same thing in different explanation

Vyote hivyo sio bus ila ukiamua kuviita bus kwasababu tu kuna magari yameandikwa school bus, basi itabidi ukubaliane na Noah kuwa ni bus kwasababu inabeba wanafunzi na imeandikwa school bus
 
Ila mwamba unahakikishaga lazima uibuke mshindi kwa namna yeyote ile
Unashangaa yanga washabiki kusafiri na bus
Ila simba msimu uliopita alienda kagera kwa coaster kucheza vs kagera sugar haikua ajabu tena ni timu na sio mashabiki
 
Mimi sikatai Simba kusafiri na Costa.

Simba waliposafiri na Costa hawakusema wamesafiri na bus.

Nyinyi mmesema mmejaza Bus halafu mwisho wa siku watu tunaona Costa.

Elewa tofauti hapo
 
Ni minibus.
Kama point ni idadi ya mashabiki, basi yanga imepeleka mashabiki wengi kuliko Simba.
Kama point ni aina ya usafiri, bado Coasters ni bus, minibus au basi ndogo.
Unapanda basi kwenda Posta/mjini, siyo lazima iwe mwendokasi, hata Coasters tunaziita buses.
Kubali tu, Yanga inahamasisha kuliko Simba. Something wrong with Simba, imepooza naona tambuu zimezidi.
 
Mini bus ni bus?

Unataka kusema nusu ni kitu kizima?

Unaelewa idadi ya Costa zilizotoka kwenda Zambia?
 
Hiace na Costa ni the same thing in different explanation

Vyote hivyo sio bus ila ukiamua kuviita bus kwasababu tu kuna magari yameandikwa school bus, basi itabidi ukubaliane na Noah kuwa ni bus kwasababu inabeba wanafunzi na imeandikwa school bus
Una asili ya ubishi tufanye umeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…