Mechi ya AS Vita VS Al Ahli

Mechi ya AS Vita VS Al Ahli

byeyombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,184
In short Mechi ni half time huko Kinshasa matokeo bila bila...
Wanasimba tuombe tu matokeo yawe hivyo hivyo ama as Vita wafungwe ingawa waarabu wanaonekana kuzidiwa kabisa hapa, wanakaba tu!
Simba kule Algeria uhakika wa ushindi upo ila ndio hivyo adui muombee njaaa...
 
Watani zangu kazi mnayo leo, maana si kwa matokeo haya ya Vita na Alhaly... Mikia haiwezi kubaki salama leo
 
Watani zangu kazi mnayo leo, maana si kwa matokeo haya ya Vita na Alhaly... Mikia haiwezi kubaki salama leo
Kimsingi naona mechi imeisha vizuri,mpaka sasa hakuna mwenye tiket ya kuvuka hivyo mechi za mwisho ndio zitamua nani aende. hata kama simba akishindwa leo. saoura wtakuwa na poit 8 na ndio watakongoza kundi. kumbuka mechi ya mwisho simba akishanda atakuea na point 9. hivyo alhaly hatakubali kufungwa nyumbani au drooo maana akifanya hivyo ameaga

Nazani ushinda wa vita leo umetengeneza nafasi ya simba kuvuka
 
Ahl hawezi kufungwa kwao na timu ile. Wakumsindikiza Ahl ni kati ya Simba na Vita. Kwa mchina pataamua
 
Ni kweli ila Mechi ya mwisho inabidi tukaze nyumbani...hawa Vita wanacheza mpira
Hawa vita, kwa kweli wako vizuri na wanacheza mpira wa haraka na wana pumzi. Hata mechi yao ya awali na al ahly kule misri mwarabu alishinda ila alilala na viatu. Wakija hapa ni lazima kwenda nao sawa. Spidi ndio mpira wa kisasa.
 
Back
Top Bottom