Mechi ya AS Vita VS Al Ahli

Mechi ya AS Vita VS Al Ahli

AS Vita akija DSM anatoa droo tu inamtosha kufuzu kwa kuwa alipiga goli 5 (head to head) na ndio decision criteria timu zikilinganisha points

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahl hawezi kufungwa kwao na timu ile. Wakumsindikiza Ahl ni kati ya Simba na Vita. Kwa mchina pataamua

tangu kundi linapangwa.. wanaopita hili kundi walionekana mapema tu.. vita na al ahly kwa uzoefu wao... mikia mnalazimisha tu.. ila sio level zenu ndio maana mnafungwa 5 -0 daily..

na leo tano zingine
 
In short Mechi ni half time huko Kinshasa matokeo bila bila...
Wanasimba tuombe tu matokeo yawe hivyo hivyo ama as Vita wafungwe ingawa waarabu wanaonekana kuzidiwa kabisa hapa, wanakaba tu!
Simba kule Algeria uhakika wa ushindi upo ila ndio hivyo adui muombee njaaa...
Uhakika wa kushinda njaa
 
Kimsingi naona mechi imeisha vizuri,mpaka sasa hakuna mwenye tiket ya kuvuka hivyo mechi za mwisho ndio zitamua nani aende. hata kama simba akishindwa leo. saoura wtakuwa na poit 8 na ndio watakongoza kundi. kumbuka mechi ya mwisho simba akishanda atakuea na point 9. hivyo alhaly hatakubali kufungwa nyumbani au drooo maana akifanya hivyo ameaga

Nazani ushinda wa vita leo umetengeneza nafasi ya simba kuvuka
Kwa picha linavyoonekana, Simba hana budi kushinda mechi yake ya mwsho dhidi ya AS Vita ili ajikatie ticket ya robo fainali..
Sasa kwa mpira ule unaopigwa na AS Vita unadhani simba atatoka pale, japo atakuwa kwa mchina..?
Vita sio timu ya mchezomchezo ukizingatia atakuwa na wazo 1 tu la kushinda ili asonge mbele.
Tusubiri maajabu tyu.. Ila binafsi Simba simpi nafasi hata kama yu home
 
Back
Top Bottom