Vita watakaza balaa,Mungu afanye muujiza tushinde AljeriaNi kweli ila Mechi ya mwisho inabidi tukaze nyumbani...hawa Vita wanacheza mpira
Kimsingi naona mechi imeisha vizuri,mpaka sasa hakuna mwenye tiket ya kuvuka hivyo mechi za mwisho ndio zitamua nani aende. hata kama simba akishindwa leo. saoura wtakuwa na poit 8 na ndio watakongoza kundi. kumbuka mechi ya mwisho simba akishanda atakuea na point 9. hivyo alhaly hatakubali kufungwa nyumbani au drooo maana akifanya hivyo ameagaWatani zangu kazi mnayo leo, maana si kwa matokeo haya ya Vita na Alhaly... Mikia haiwezi kubaki salama leo
Ahl hawezi kufungwa kwao na timu ile. Wakumsindikiza Ahl ni kati ya Simba na Vita. Kwa mchina pataamuaKimsingi naona mechi imeisha vizuri,mpaka sasa hakuna mwenye tiket ya kuvuka hivyo mechi za mwisho ndio zitamua nani aende. hata kama simba akishindwa leo. saoura wtakuwa na poit 8 na ndio watakongoza kundi. kumbuka mechi ya mwisho simba akishanda atakuea na point 9. hivyo alhaly hatakubali kufungwa nyumbani au drooo maana akifanya hivyo ameaga
Nazani ushinda wa vita leo umetengeneza nafasi ya simba kuvuka
Mwehu wwkila la heri thomas ulimwengu.. piga mikia hao
Hawa vita, kwa kweli wako vizuri na wanacheza mpira wa haraka na wana pumzi. Hata mechi yao ya awali na al ahly kule misri mwarabu alishinda ila alilala na viatu. Wakija hapa ni lazima kwenda nao sawa. Spidi ndio mpira wa kisasa.Ni kweli ila Mechi ya mwisho inabidi tukaze nyumbani...hawa Vita wanacheza mpira
Mtapata faida gani toka muanze kuombea Mbabanekila la heri thomas ulimwengu.. piga mikia hao