Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,451
Reaction score
2,059
Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!

Source: Blog Ya SalehJembe.

Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
 
Game kubadilishwa kwa ligi ya Bongo ni kawaida sana tuu, vingine ni ujuaji wa kwaida katika jamii.
 
Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!

Source: Blog Ya SalehJembe.

Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
Hamna tafrani ilotokea... Yanga walikimbia. Period!
 
Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
Mchezo utachezwa maana football is a fair game, hauegemei sana kwenye kanuni. By the way hizo timu mbili hakuna inayomuogopa mwenzake hivyo hakuna itakayosingizia kubadilika kwa muda kama kigezo cha kukataa kucheza. Inawezekana TFF imefanya makusudi ili kuiaibisha mojawapo ya timu iliyogomea mchezo wiki iliyopita kwa sababu zinazovumilika
 
Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!

Source: Blog Ya SalehJembe.

Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
Huo mchezo wa Azam na KMC tokea jana nimeona matangazo ya television ya Azam wakionesha muda kuwa ni saa moja usiku. Labda kama ulikuwa hamjui hilo
 
KMC na Azam Zinajielewa, na Hakuna anayemuogopa Mwenzie Yaani Kila mmoja anataka Kipigwe mshindi ajulikane.
Mchezo utachezwa maana football is a fair game, hauegemei sana kwenye kanuni. By the way hizo timu mbili hakuna inayomuogopa mwenzake hivyo hakuna itakayosingizia kubadilika kwa muda kama kigezo cha kukataa kucheza. Inawezekana TFF imefanya makusudi ili kuiaibisha mojawapo ya timu iliyogomea mchezo wiki iliyopita kwa sababu zinazovumilika
Angalia hili tangazo la Azam linaonesha mechi ni saa ngapi na walipost lini? Mjifunze kufuatilia mambo sio kukurupuka kuanzisha nyuzi na kutoa comment ty
Screenshot_2021-05-15-13-40-56-069_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom