kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Nimekuwekea sourceToa sababu
Hamna tafrani ilotokea... Yanga walikimbia. Period!Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!
Source: Blog Ya SalehJembe.
Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
Mchezo utachezwa maana football is a fair game, hauegemei sana kwenye kanuni. By the way hizo timu mbili hakuna inayomuogopa mwenzake hivyo hakuna itakayosingizia kubadilika kwa muda kama kigezo cha kukataa kucheza. Inawezekana TFF imefanya makusudi ili kuiaibisha mojawapo ya timu iliyogomea mchezo wiki iliyopita kwa sababu zinazovumilikaKwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
Huo mchezo wa Azam na KMC tokea jana nimeona matangazo ya television ya Azam wakionesha muda kuwa ni saa moja usiku. Labda kama ulikuwa hamjui hiloMchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!
Source: Blog Ya SalehJembe.
Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
KMC na Azam Zinajielewa, na Hakuna anayemuogopa Mwenzie Yaani Kila mmoja anataka Kipigwe mshindi ajulikane.
Angalia hili tangazo la Azam linaonesha mechi ni saa ngapi na walipost lini? Mjifunze kufuatilia mambo sio kukurupuka kuanzisha nyuzi na kutoa comment tyMchezo utachezwa maana football is a fair game, hauegemei sana kwenye kanuni. By the way hizo timu mbili hakuna inayomuogopa mwenzake hivyo hakuna itakayosingizia kubadilika kwa muda kama kigezo cha kukataa kucheza. Inawezekana TFF imefanya makusudi ili kuiaibisha mojawapo ya timu iliyogomea mchezo wiki iliyopita kwa sababu zinazovumilika