choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Walikua wamefungiwa( hivo wasingeweza kuwatumia wachezaji waliowasajili) hilo wakalimaliza , kumbe tena walikua hawajawasajili hao wachezaji kwenye mfumo wa TffMkuu samahani mimi sijaelewa!
Wamefungiwa kusajili au baadhi ya wachezaji wanaidai timu!?
Tufanye wewe ndio TFF ungeamua vp?Live from chamaz,mpira umesitishwa,kutokana na sheria ambayo hairuhusu mchezo kuendelea iwapo,wachezaji watapungua saba...ingawa fei toto kapewa mpira wake..sasa sjui imekuaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]poor poor poor kwa TFF
sheria za mpira zinaruhusu wachezaji 8 mpira uchezweTff mnaruhusu vp mchezo dizaini hii, hata hauna mvuto
Sasa mkuu tff wanajua kabisa hii timu wamekamilisha usajili wa wachezaji nane tu kwann waruhusu wacheze!!?Walikua wamefungiwa( hivo wasingeweza kuwatumia wachezaji waliowasajili) hilo wakalimaliza , kumbe tena walikua hawajawasajili hao wachezaji kwenye mfumo wa Tff
Kanuni inaruhusu hivo, wachezaji wakifika 7 mechi ichezwaSasa mkuu tff wanajua kabisa hii timu wamekamilisha usajili wa wachezaji nane tu kwann waruhusu wacheze!!?
Ndio maana Mayele amekwenda kushindana kufunga magoli na wafungaji wa ukweli.Feisal ndio top score
Ameitumia vizuri fursa
Hao 8 ni pamoja na kipa?au pamoja na kipa ni 9Wachezaji 11 vs wachezaji 8 ???
Nah wetin!
Madenge KIPA[emoji16][emoji16][emoji16]Nmecheka hii mechi, nimesoma hapa kama vile nlivokua nasoma ule mpira wa kwenye gazeti la sani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndio jambo la msingi walitakiwa kulifanya wao wakakomaa wewe baada ya kuona mambo magumu ndio wanajifanya kuumiaKimsingi walitakiwa waingie kucheza hao 8 na baada ya dakika 5 kipa na mwenzie wangesingizia kuumia kama walivyosingizia na mpira kuvunjika.
Mkuu hawa wamepigwa ban na fifa na TFF kwasababu hawakulipa baadhi ya wachezaji wakiwa championship,inabidi lazima wacheze maana haijulikani watatoka kwenye ban lini ,sasa mechi isipocheza watawekewa viporo vingapi?Na hao tff wanaruhusuje mechi ya namna hii!?
Sasa wale wapi....hahahahhWachambuzi nao wasivyo na aibu watauchambua huu mchezo!!
[emoji2][emoji2]Wachambuzi nao wasivyo na aibu watauchambua huu mchezo!!
Tukisema pale TFF hakuna watu wa mpira kuna kikundi tu cha wahuni mnatuona hatuna akili / tunahate sanaUnawezaje kuchezesha timu ina wachezaji pungufu ( wanane ) uwanjani halafu baadae uje utoe kiatu cha mfungaji bora?
Hizi mambo mbona ni uhuni mwingi sana?
Hivi kulikuwa hakuna njia nyingine hili lisitokee?
Nimesikitishwa sana na huu uhuni wa leo
Kule kafata Pesa hajafuata challengeNdio maana Mayele amekwenda kushindana kufunga magoli na wafungaji wa ukweli.
Feisal na Zaidi hawana tofauti halafu baadaye unampa mtu kiatu cha dhahabu upuuzi mtupu.
Hata kitayose viongozi wake ni wahuni tupu.Hebu fikiria eti rage naye ni kiongoziTukisema pale TFF hakuna watu wa mpira kuna kikundi tu cha wahuni mnatuona hatuna akili / tunahate sana
Bongo wale jamaa wa Guiness world record hawajapashtukia tu, kuna recoed za kutosha na balaa sana ambazo huwezi pata mahala pengine
Hembu tuambie ground ya kuihairisha hii mechi TFF hawana makosa viongozi wa vilabu ndo wa mchongoTFF wamewafanyia kitu mbaya hawa jamaa, pamoja na kua wamekosea ila hii mechi ni bora wangeiharisha tu.
Mbona mechi za simba au yanga mmoja wapo akiwa na changamoto zinahairishwa.
Wamekosea ila wamepigwa rungu kali sana hawa kitayose.
Ila kitaalamu inaruhusu kucheza nane uwanjani hivi hakukuwa na shida yeyote wao kuingiza team uwanjani hata kama hawajakamilisha usajili .TFF wamewafanyia kitu mbaya hawa jamaa, pamoja na kua wamekosea ila hii mechi ni bora wangeiharisha tu.
Mbona mechi za simba au yanga mmoja wapo akiwa na changamoto zinahairishwa.
Wamekosea ila wamepigwa rungu kali sana hawa kitayose.