Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Live from chamaz,mpira umesitishwa,kutokana na sheria ambayo hairuhusu mchezo kuendelea iwapo,wachezaji watapungua saba...ingawa fei toto kapewa mpira wake..sasa sjui imekuaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]poor poor poor kwa TFF
Tufanye wewe ndio TFF ungeamua vp?
 
Walikua wamefungiwa( hivo wasingeweza kuwatumia wachezaji waliowasajili) hilo wakalimaliza , kumbe tena walikua hawajawasajili hao wachezaji kwenye mfumo wa Tff
Sasa mkuu tff wanajua kabisa hii timu wamekamilisha usajili wa wachezaji nane tu kwann waruhusu wacheze!!?
 
Kimsingi walitakiwa waingie kucheza hao 8 na baada ya dakika 5 kipa na mwenzie wangesingizia kuumia kama walivyosingizia na mpira kuvunjika.
Hapo ndio jambo la msingi walitakiwa kulifanya wao wakakomaa wewe baada ya kuona mambo magumu ndio wanajifanya kuumia
 
Unawezaje kuchezesha timu ina wachezaji pungufu ( wanane ) uwanjani halafu baadae uje utoe kiatu cha mfungaji bora?

Hizi mambo mbona ni uhuni mwingi sana?
Hivi kulikuwa hakuna njia nyingine hili lisitokee?

Nimesikitishwa sana na huu uhuni wa leo
Tukisema pale TFF hakuna watu wa mpira kuna kikundi tu cha wahuni mnatuona hatuna akili / tunahate sana

Bongo wale jamaa wa Guiness world record hawajapashtukia tu, kuna recoed za kutosha na balaa sana ambazo huwezi pata mahala pengine
 
TFF wamewafanyia kitu mbaya hawa jamaa, pamoja na kua wamekosea ila hii mechi ni bora wangeiharisha tu.

Mbona mechi za simba au yanga mmoja wapo akiwa na changamoto zinahairishwa.

Wamekosea ila wamepigwa rungu kali sana hawa kitayose.
 
Ndio maana Mayele amekwenda kushindana kufunga magoli na wafungaji wa ukweli.

Feisal na Zaidi hawana tofauti halafu baadaye unampa mtu kiatu cha dhahabu upuuzi mtupu.
Kule kafata Pesa hajafuata challenge

Challenge hata hapa zipo na hajaweza kuzikabili kwa ufanisi utaomfanya awe tofauti na wengine.

Hapa tu hajaweza kufunga mabao mengi kuzidi washindani wake.
 
Tukisema pale TFF hakuna watu wa mpira kuna kikundi tu cha wahuni mnatuona hatuna akili / tunahate sana

Bongo wale jamaa wa Guiness world record hawajapashtukia tu, kuna recoed za kutosha na balaa sana ambazo huwezi pata mahala pengine
Hata kitayose viongozi wake ni wahuni tupu.Hebu fikiria eti rage naye ni kiongozi
 
TFF wamewafanyia kitu mbaya hawa jamaa, pamoja na kua wamekosea ila hii mechi ni bora wangeiharisha tu.

Mbona mechi za simba au yanga mmoja wapo akiwa na changamoto zinahairishwa.

Wamekosea ila wamepigwa rungu kali sana hawa kitayose.
Hembu tuambie ground ya kuihairisha hii mechi TFF hawana makosa viongozi wa vilabu ndo wa mchongo
 
TFF wamewafanyia kitu mbaya hawa jamaa, pamoja na kua wamekosea ila hii mechi ni bora wangeiharisha tu.

Mbona mechi za simba au yanga mmoja wapo akiwa na changamoto zinahairishwa.

Wamekosea ila wamepigwa rungu kali sana hawa kitayose.
Ila kitaalamu inaruhusu kucheza nane uwanjani hivi hakukuwa na shida yeyote wao kuingiza team uwanjani hata kama hawajakamilisha usajili .

Alafu kingine wao ndio wenye makosa maana walichelewa kupeleka majina ya wachezaji waliosajiliwa TFF na badala yake wakaanza mazoezi na wachezaji wengine walio nje ya mfumo mpaka siku ya mechi inaanza wao hawakufuata taratibu zozote
 
Naomba kuuliza ina maana mechi zote za ligi zilizobaki hii team (kitayose) itakua na wachezaji 8 tu??? Au ni mechi ya leo tu…
 
Mechi halali kabisa..
Azam wameshinda na point zao kibindoni
Mechi haitarudiwa ndo imeenda
Kitayoce ni bora waombe waondolewe kwny mzunguko tuu...itakua ndo timu ya kubondwa kupunguza maumivu ya kufungwa...
 
Back
Top Bottom