runyaga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 523
- 241
Hapa niwapongeze TFF kwa kuona mbali na muwalazimishe wacongo wafanye mazoezi mda uleule wa mechi ikiwa inaendelea ili wasikie makelele ya mashabiki wa simba make naamini ndo watakuwa wengi.
Kelele hizi zitawafanya wajione kama washafungwa goli moja, halafu wakimaliza mazoezi wakati mechi inaendelea waruhusu waingie uwanjani bure ili waone uwanja ulivyojaa, hii itawafanya waamini kwamba taifa patajaa vilevile.
Halafu siku ya mechi TFF mtuwekee kiingilio cha elf 2 au 3 ili na sisi wa kipato kidogo tuweze kuja kwa wingi, hii itaongeza hamasa kwa vijana wetu vilevile kuwanyongonyesha wakongo ili wakija uwanjani waje wanaamini kwamba washafungwa.