Mechi ya Azam Vs Simba ni ushindi wa Serengeti boys dhidi ya Congo.

runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
523
Reaction score
241
Hapa niwapongeze TFF kwa kuona mbali na muwalazimishe wacongo wafanye mazoezi mda uleule wa mechi ikiwa inaendelea ili wasikie makelele ya mashabiki wa simba make naamini ndo watakuwa wengi.
Kelele hizi zitawafanya wajione kama washafungwa goli moja, halafu wakimaliza mazoezi wakati mechi inaendelea waruhusu waingie uwanjani bure ili waone uwanja ulivyojaa, hii itawafanya waamini kwamba taifa patajaa vilevile.
Halafu siku ya mechi TFF mtuwekee kiingilio cha elf 2 au 3 ili na sisi wa kipato kidogo tuweze kuja kwa wingi, hii itaongeza hamasa kwa vijana wetu vilevile kuwanyongonyesha wakongo ili wakija uwanjani waje wanaamini kwamba washafungwa.
 
Nimeipenda hiyo ya kuwapigia makelele.
 
Achilia mbali kua mashabiki wa Simba watakua wengi.. pia ndo hao hao watakua wananyanyuka vitini kila baada ya dk kadhaa kushangilia magoli yao.
 
mh!sijakuelewa mbona?huenda nna akili kubwa kuliko wewe!
 
Hapa niwapongeze TFF kwa kuona mbali na muwalazimishe wacongo wafanye mazoezi mda uleule wa mechi ikiwa inaendelea ili wasikie makelele ya mashabiki wa simba make naamini ndo watakuwa wengi.
Kelele hizi zitawafanya wajione kama washafungwa goli moja, halafu wakimaliza mazoezi wakati mechi inaendelea waruhusu waingie uwanjani bure ili waone uwanja ulivyojaa, hii itawafanya waamini kwamba taifa patajaa vilevile.
Halafu siku ya mechi TFF mtuwekee kiingilio cha elf 2 au 3 ili na sisi wa kipato kidogo tuweze kuja kwa wingi, hii itaongeza hamasa kwa vijana wetu vilevile kuwanyongonyesha wakongo ili wakija uwanjani waje wanaamini kwamba washafungwa.
Sijaelewa!
 
Back
Top Bottom