Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 326
Allianz Arena??
Anza wewe...
Saa ngap itapigwa? ?
Saa ngap itapigwa? ?
Barca 3-1 Juve
Kuna kosa hapo mkuu??
Uwanja ni OLYMPIASTADION BERLIN
sasa ni sawa.
Messi atatupia mawili. hilo moja watagombea Suarez na Neymar.
Natabiri 3 -2
Game itaboa bse Barcelona wataitawala mwanzo mwisho na kushinda kirahisi.
Barcelona 3 Juventus 0
Nn kimebadilika Juve mpaka Barca watawale game??
Messi atatupia mawili. hilo moja watagombea Suarez na Neymar.
Natabiri 3 -2
Asante kwa marekebisho mkuu.....