Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 326
Ni leo hii majira ya saa tatu na dakika arobaini na tano (09:45) usiku kwa majira ya Afrika Mashariki katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani mchezo wa kuhitimisha mashindano makubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Mengi yanategemewa katika mechi hii.
Sasa weka utabiri wako hapa..
================================
Final Score
Barcelona 3 - Juventus 1
Barcelona wamekuwa mabingwa wapya wa Ulaya kwa msimu huu
#TeamBarcelona #UCL
Mengi yanategemewa katika mechi hii.
Sasa weka utabiri wako hapa..
================================
Final Score
Barcelona 3 - Juventus 1
Barcelona wamekuwa mabingwa wapya wa Ulaya kwa msimu huu
#TeamBarcelona #UCL