Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Pigo lingine, Vidal anapunguzwa aggressiveness ..
 
Barca kama chelsea wakiguswa kidogo wanaanguka
 
Leo yatakuwa mengi hapa. Juve nyanya kama Simba, Yanga. Muda si mrefu tutashuhudia RED..
 
nlisema ...........HUU MPIRA UNAISHA KIPIND CHA KWANZA YAAN DK 45 JUVENTUS hawarud uwanjani wanaamua tu kombe litolewe kwa BARCA. YAAN BARCA wanashinda kwa TKO kama ni kwenye masumbwi tungeita hivyo. Juventus wanaona hamna haja ya kupoteza dk 45 za kipind cha pili heri wenye kombe lao wapewe wamalize mpira kwa aman.
 

hii fainali mkuu siyo makundi.
 
kazi ipo ma star Neymar,Pogba,Messi mpaka sasa hawajaona nyavu,kafunga mwingine,mpira bwana
 
Hebu tuangalie tena team news

Juventus- Kipa Buffon, beki wa kulia Lichtsteiner, mabeki wa kati ni Barzagli, Bonucci, na beki wa kushoto ni Patrice Evra, namba sita ni Marchisio, namba 8 Pirlo, 7 ni Pogba, 8 ni Vidal, 10 ni Tevez, na namba tisa ni Morata.

Barca:- Kipa ni Ter Stegen; kulia kuna Alves, kati kuna Pique na mkoba ni Mascherano, beki wa kushoto ni Alba; 7 ni Rakitic, namba 8 Busquets, namba 6 Iniesta; Messi aanacheza namba 10 , 11 ni Suarez, na Neymar namba 9

Dakika ni ya 17 Barca 1 Jeventus 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…