rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Hivi huyu Messi ndo mnamfananisha na Gaucho?
Kweli kwetu Tanzania mchezajia anayepiga chenga nyingi na kuremba(Ronaldinho) sana ndiyo anayejua mpira kuliko mchezaji aliye effective
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Messi ndo mnamfananisha na Gaucho?
kazi ipo ma star Neymar,Pogba,Messi mpaka sasa hawajaona nyavu,kafunga mwingine,mpira bwana
i know they can equalize it come juve..Ngoma imetulia sasa na Juventus wameanza kucheza lakini wakiwa wameshtushwa na goli la mapema.
nlisema ...........HUU MPIRA UNAISHA KIPIND CHA KWANZA YAAN DK 45 JUVENTUS hawarud uwanjani wanaamua tu kombe litolewe kwa BARCA. YAAN BARCA wanashinda kwa TKO kama ni kwenye masumbwi tungeita hivyo. Juventus wanaona hamna haja ya kupoteza dk 45 za kipind cha pili heri wenye kombe lao wapewe wamalize mpira kwa aman.
juve watarudisha hili goli
Mascherano anaokoa jahazi ..
juve watarudisha hili goli
juve watarudisha hili goli
Vidal kapanick dah
Vidal kapanick dah