Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

kazi ipo ma star Neymar,Pogba,Messi mpaka sasa hawajaona nyavu,kafunga mwingine,mpira bwana

Kutoa assist ni sehemu ya mchezo wa soka...

Hajafunga Messi au Neymar lakini pasi tatu za mwisho kabla ya goli wamehusika hao...
 
Ngoma imetulia sasa na Juventus wameanza kucheza lakini wakiwa wameshtushwa na goli la mapema.
 
Javier Mascherano anaingilia pasi ndefu ilopigwa na Pogba kuelekea kwa Morata na inakuwa kona ambayo inapotezwa.
 

Tulia mkuu,Goli linarudi.
 
Hii.nina wasi wasi ya Arsenal na Aston villa yasije yakajirudia
 
Mascherano anaokoa jahazi ..

Mascherano alipokuwa Liverpool alikuwa akicheza kama kiungo na alipokwenda Barca akabadilishwa na Guadiola na mpaka leo anacheza kama mkoba na amemweka nje mtu kama Vermaelen mwaka mzima, very interesting.
 
Tanzania itafuzu world cup kabla ya arsenal kucheza fainali kama hii ya UCL.

rubaman
 
Last edited by a moderator:
Hili li vidal sjui.bora lilivokataa kuja man.huyu mtt bosquete anachezea mpra anavyotaka lenyewe linakaba miguu hovyo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…