tulia wewe mrembo ila sitakag wagumu kama nyie mimi nimekwambia nakupeleka kwa ARSENAL wakakufanye kitu kibayaHahahaaaa mimi leo naondoka na wachumba wawili... Cardinal06 na PNC 1 .
Lazma leo barca wafungwe wasilete ujinga kujiangusha angusha kama mabua
Hahahaaaa mimi leo naondoka na wachumba wawili... Cardinal06 na PNC 1 .
Lazma leo barca wafungwe wasilete ujinga kujiangusha angusha kama mabua
kibiblia wanasema akaona ni kufuatilia upepo na ubatili.alikuwa kama wewe ila kaona ni upumbavu
mchumba atajulikana dakika 90 na nilishakwambia kutokana wewe ni mbushi ntakupeleka kwa wanaume wenye maugumu ambao ni ARSENAL
tulia wewe mrembo ila sitakag wagumu kama nyie mimi nimekwambia nakupeleka kwa ARSENAL wakakufanye kitu kibaya
kibiblia wanasema akaona ni kufuatilia upepo na ubatili.
Messi leo Buuuuuu
pamoja sana mtu wanguHahahaaaa sawa mkuu wangu wa nguvu
mes kama yesu penye tabu ndipo anaonyesha maajabu.juve wanaweza kusawazisha mesi akamalizia la ushindi.
Juve wana kipa tu
POGBA naye si haba!ahahaha jamaa yenu Wakung'ata meno leo mgongo unamuuma nini
Huyo Vidal bado yupo? Anacheza? Mbona hata simwoni:becky:?
Ule utatu leo vipi jamaani?