Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Hahahaaaa mimi leo naondoka na wachumba wawili... Cardinal06 na PNC 1 .
Lazma leo barca wafungwe wasilete ujinga kujiangusha angusha kama mabua
tulia wewe mrembo ila sitakag wagumu kama nyie mimi nimekwambia nakupeleka kwa ARSENAL wakakufanye kitu kibaya
 
Last edited by a moderator:
Bingwa wa leo atapatikana kwa penalt, barca 5-4 juvetus
 
Hahahaaaa mimi leo naondoka na wachumba wawili... Cardinal06 na PNC 1 .
Lazma leo barca wafungwe wasilete ujinga kujiangusha angusha kama mabua

ahahaha wanatafuta Penalty kwa udi na uvumba
 
Last edited by a moderator:
Twende kazi wanaume kutoka italy ndani ya uwanja
 
Moraaaaaaaata 1-1

Alvaro Morata anafunga na kusawazisha goli baada ya mpira kutemwa na kipa wa Barca alipojaribu kuzuia shuti la Carlos Tevez

Mpira sasa ndio umeanza.

Dakika ni ya 57 goli ni Juve 1 Barca 1
 
Back
Top Bottom