Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
ahahahahaaa!!!bado pogba sasa
Subiri uone Messi magic....
kazi ipo,sijui nani bingwa leo
Pogba sasa yupo anacheza na amejivua magamba ya uoga.
Teveeeez no anapaisha!
Dakika inakwenda ya 63 Juve 1 Barca 1