Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Ingawaje kafunga suarez ila mess ni hatari na kaonyesha jitihada sana.
 
Barcelona babesss!! Més que un club.

Mingi love to Andre Pirlo!
 
Neymaaaaar no ameshika mpira

Mwamuzi anakataa goli kwasababu Neymaa aligusa kwa mkono mara tu alipopiga kwa kichwa kufunga goli ambalo lingekuwa ni la tatu na la kupigilia misumari jeneza la Juventus
 
Huyu linesman ndiye alitakiwa awe kati
 
No goal kivipi bana....kwani kaushika mpira kwa makusudi?
 
Leo ndio nimeona mwamuzi wa pale karibu na goli anafanya kazi. Siku zote huwa nashangaa kwanini wapo
 
Mturuki kashakuchukuwa chake mapema. Anapeta penati za Juventus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…