Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Got to give props to Evra, kamficha Messi mfukoni
 
Juve akifungwa hii mechi basi Evra atakuwa na bahati mbaya sana na Barca maana fainal 3 za UEFA mfululizo kapoteza
 
mzee wa nguvu nyingi PIQUE anaenda hewani
 
Pique unataka kufunga au unaokoa...khaaa!!!
 
Tanzania bureau of investigation (TBI) wamchunguze refa wa kituruki..... Anawabeba Barca kiwaziwazi.
 
sasa huyu dogo wanayemuingiza sasa hivi...haya bwna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…