Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Juve hamna kitu kabisa. Hata lile goli walibahatisha tu.
Kwanza score ilitakiwa iwe 3-1.
Juve hamna kitu kabisa. Hata lile goli walibahatisha tu.
Kwanza score ilitakiwa iwe 3-1.
ok mkuu umeshinda leo kombe hiloooo!!!hongera
Mi nilitaka iwe 3-0.
Messi atupie japo moja.