mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,842
Barcelona = timu nssiyoipenda zaidi dunia nzima.
Nenda hosptl mkuu maana kama hupendi maji inamaana ww ni mchafu, hufui wala kuosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barcelona = timu nssiyoipenda zaidi dunia nzima.
cute b mkewangu umenikimbia
Cute b
Hongera barca.. Timu bora kwangu ni juventus fc..
Nenda hosptl mkuu maana kama hupendi maji inamaana ww ni mchafu, hufui wala kuosha
Inawezekana anafuliwa... Ila kama hapendi hewa atakufa
Mbona mpira umeisha kienyeji?
Komredi hata kabla sijamaliza kuandika kuwa nataka Neymar atupie japo moja....kufumba na kufumbua naona nyavu ya Juve inacheza tena.
Wakati mwingine hata kama inakukera toa tu credit kwa anaejua. Kadri ilivyo level ya Barc ni kubwa kwa kila idara kwa Juve. Na kwa kutaka kusawazisha wakaacha goli lao na kujaa kwa adui. Sasa aina ya wachezaji wa Barc wako kamili kila idara kuanzia pasi hadi counter attack. Na angalia walivyo wajanja, ingekuwa team ya ovyo ingekuwa offside maana papara kidogo mmoja wa wachezaji angezidi bega ni offside, wakamtumia yule mchezaji mmoja wa Juve kwenye line moja na kupiga goli tarrtibuuuuuuu! Barca watamu hasa kwa mpira safi wenye pasi na faulu chache. Ukimkaba Messi atakufunga Suarez, ukimkaba Suatez atakufunga Neymar likewise Neymar ukimkaba ujue hata beki anakufunga. Kiufundi na kiumahiri Barcelona ni team bora duniani pamoja na Real Madrid!
Gemu imeisha hiyo wewe.....au we ulitaka iisheje?
alicheza mojaLOL Thomas Vermalean na yeye anadiriki kupokea medal....Nadhani jamaa hajacheza hata mechi moja tangu ahamie Barca
Nilidhani mpira ulitakiwa uanzwe/ urudishwa kati, au siyo?
Comrade nitabirie siku ya kufa kwangu. Manake ulisema 3-1 na ikawa. We kijukuu cha mtume hakyamama...