Mi nilitaka iwe 3-0.
Messi atupie japo moja.
Ingependeza zaidi kama Neymar naye angetupia...iwe 4-0 kabisa.
Mbona mpira umeisha kienyeji?
Hahahahahaaaaaa mi mkali aiseeee......Neymaaaaaaaaaaaaaaaaar
Hongera barca.. Timu bora kwangu ni juventus fc..
Mbona mpira umeisha kienyeji?
unaona raha wazee wanavyolia hapo uwanjani sasa hivi??ahahaha hongera
Teh teh teh.....pole kwa maumivu teh teh teh.
Kwangu mchezaji bora ni Kipa wa Juve pamoja na kufungwa tatu