For this season I was always a loser hahhaaaaaaa...
1.Man u sikuwepo eufa, mbaya zaidi ameshika nafasi ya 4 , tutaanzia kwenye makundi.
2. nikasaport majirani zetu man city wakatolewa.
3. Nikapeleka moyo kwa madrid .naye akapigwa nje.
4.Nikaamia kwa Juventus alomtoa Madrid ..
naye Leo kachezea....
Tukutane copa america...
Mexicana.....
mkuu mwaka huu wako umeona ukienda chile yupo bravo uruguay yupo suarez na brazili neymar ARGENTINA ndiooooo usiseme
Barca 3-1 Juve
ha ha ha ha ha mkuu utapata vidonda vya tumbo kwa kuichukia barcaHhahaaaaaa mkuu,
Hao wadau siwapendi basi, nilitaka Hata watoke majeruhi Jana...
Wee jamaa ni noma! haya kwa mhindi umesha chukua mpunga?
Unasema????
Barca Uzi mnene
umesahau barca alipigwa kwao na huyo benitez?moto wa barca hauwez zimwa na yule kilaza wa napoli
umesahau barca alipigwa kwao na huyo benitez?
hata barca alipigwa 2-1 nyumbani kwake, benitez akiwa kochagemu ya mwisho liverfool tumempiga 1kwa bila tena uwanjani kwake
ni sawa kwa hyo benitez kaja kufuta utawala wa raishata barca alipigwa 2-1 nyumbani kwake, benitez akiwa kocha