Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Sio kwamba ronaldo kamzidi mesi mamy?
Coz last tym kufuatilia ronaldo alikuwa amemzid messi ila sasa watu wakaweka matumaini kua mesi angeshinda fainal

Kwenye La liga Ronaldo ndo kamzidi Messi ila huku kwenye UEFA wote watatu Messi ,Ronaldo na Neymar wana magoli 10 .
 
Hahahaaaaa kumbe eeee.....
Huyo team mesi umenichekesha sana yaaan kumbe yey anapenda mesi na sio club
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tatzo mke wewe ukitembea na mimi njiani kila mme ukipishana nae unamsifia kwangu sasa unaniboa mwanaume
 
Kwenye La liga Ronaldo ndo kamzidi Messi ila huku kwenye UEFA wote watatu Messi ,Ronaldo na Neymar wana magoli 10 .
endapo neymar asingescore angechukua ronado sababu wanaangaliwa nan kaxheza dk nyingi
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tatzo mke wewe ukitembea na mimi njiani kila mme ukipishana nae unamsifia kwangu sasa unaniboa mwanaume

Basi hubby lol...ndo kwanza ndoa changa unanisimanga ivi.
 
Tehe tehe...
Mamy kuna jezi ya man u naisaka adi nachoka kila ninayoipata sio...izi zenye cola kama 4m six
hyo ndio nzur ya kola za form6 coz zitakuwa zimekaa kiuanafunz ila mkifika semi final msimu ujao kola zitaondolewa
 
Tehe tehe...
Mamy kuna jezi ya man u naisaka adi nachoka kila ninayoipata sio...izi zenye cola kama 4m six

Aiseee mumy zile ni inshu kuzipata hazionekani hovyo, labda twende kwenye mabotique makubwa sasa huko itabidi tuwe na kamdhamini maana si unajua tena kule.....lol
 
Daaah yaan kuna mkaka mmoja anayo ya Chevrolet ya ivyo nzurii duu anasema alinunua US naitamanijeee...sasa nimembelea sehem mbali mbali sijaziona
 
Hapo ndipo unaponiboa
 
Hapa umenichanganya kacheza nyingi au ndogo?
chache au ndogo yote sawa ila hao wenzie wamecheza dakika nyingi kumbuka zile mechi ambazo neymar alikuwa anakuwa sub akipokelezana na pedro
 
Daaah yaan kuna mkaka mmoja anayo ya Chevrolet ya ivyo nzurii duu anasema alinunua US naitamanijeee...sasa nimembelea sehem mbali mbali sijaziona

Tumia fursa twenzetu.... Hahahhaa
 
chache au ndogo yote sawa ila hao wenzie wamecheza dakika nyingi kumbuka zile mechi ambazo neymar alikuwa anakuwa sub akipokelezana na pedro

Kwa hiyo mshindi ni aliyecheza chache.... Kichwa kigumu kuelewa nina hangover za jana
 
Back
Top Bottom