Sio kwamba ronaldo kamzidi mesi mamy?
Coz last tym kufuatilia ronaldo alikuwa amemzid messi ila sasa watu wakaweka matumaini kua mesi angeshinda fainal
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tatzo mke wewe ukitembea na mimi njiani kila mme ukipishana nae unamsifia kwangu sasa unaniboa mwanaumeHahahaaaaa kumbe eeee.....
Huyo team mesi umenichekesha sana yaaan kumbe yey anapenda mesi na sio club
Hahahaha!! Mimi simo ngoja Cardinal06 akusikie ntakuruka kabisa sijakupa umbea huu!!!!
kachukua neymar
endapo neymar asingescore angechukua ronado sababu wanaangaliwa nan kaxheza dk nyingiKwenye La liga Ronaldo ndo kamzidi Messi ila huku kwenye UEFA wote watatu Messi ,Ronaldo na Neymar wana magoli 10 .
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tatzo mke wewe ukitembea na mimi njiani kila mme ukipishana nae unamsifia kwangu sasa unaniboa mwanaume
hyo ndio nzur ya kola za form6 coz zitakuwa zimekaa kiuanafunz ila mkifika semi final msimu ujao kola zitaondolewaTehe tehe...
Mamy kuna jezi ya man u naisaka adi nachoka kila ninayoipata sio...izi zenye cola kama 4m six
Kwa vigezo gani?
Basi hubby lol...ndo kwanza ndoa changa unanisimanga ivi.
Tehe tehe...
Mamy kuna jezi ya man u naisaka adi nachoka kila ninayoipata sio...izi zenye cola kama 4m six
endapo neymar asingescore angechukua ronado sababu wanaangaliwa nan kaxheza dk nyingi
Aiseee mumy zile ni inshu kuzipata hazionekani hovyo, labda twende kwenye mabotique makubwa sasa huko itabidi tuwe na kamdhamini maana si unajua tena kule.....lol
hyo ndio nzur ya kola za form6 coz zitakuwa zimekaa kiuanafunz ila mkifika semi final msimu ujao kola zitaondolewa
Hapo ndipo unaponiboaDaaah yaan kuna mkaka mmoja anayo ya Chevrolet ya ivyo nzurii duu anasema alinunua US naitamanijeee...sasa nimembelea sehem mbali mbali sijaziona
Hapa umenichanganya kacheza nyingi au ndogo?kacheza dakika chache kupita wote
Basi husbandi naomba uninunulie jamani....
chache au ndogo yote sawa ila hao wenzie wamecheza dakika nyingi kumbuka zile mechi ambazo neymar alikuwa anakuwa sub akipokelezana na pedroHapa umenichanganya kacheza nyingi au ndogo?
Daaah yaan kuna mkaka mmoja anayo ya Chevrolet ya ivyo nzurii duu anasema alinunua US naitamanijeee...sasa nimembelea sehem mbali mbali sijaziona
chache au ndogo yote sawa ila hao wenzie wamecheza dakika nyingi kumbuka zile mechi ambazo neymar alikuwa anakuwa sub akipokelezana na pedro
Hapo ndipo unaponiboa