Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Safiiiiii!!! Hivi hapo unakunywa kinywaji gani embu ongeza nakuja kulipa fasta..... Yaani mumy vidume vyote vimechemka hata wale watoto wa Mou hapa ni hela tu kama hawana wajikatae mapemaaaa!!

Hahahaaaaa wale watoto wa mou....umenichekesha sana maana nimeota umeolewa na Ntuzu daaahhh....ila ni ndoto tuu tehe teheee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa umemsahau na Ntuzu japo ni kimbau mbau ivi kila wiki vocha ya elfu 10 ananitumia je nikinenepa hahahaaa
.

Kumbe ndo maana siku hizi ananidengulia kumbe kakupata. Ntuzu utanikoma kumbe ndo zako utaka kula kuku na mayai eeeh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa wale watoto wa mou....umenichekesha sana maana nimeota umeolewa na Ntuzu daaahhh....ila ni ndoto tuu tehe teheee

KHaaaaaaaa!!! Wewe hizo ndoto zako zinagonga ikulu kwa Ntuzu embu zishindweeee!!!! Ntuzu ni msweet sana tatizo sasa sisi watoto wa kishua toka OT ni hela ndo mpango mzima......... Lol
 
Last edited by a moderator:
.

Kumbe ndo maana siku hizi ananidengulia kumbe kakupata. Ntuzu utanikoma kumbe ndo zako utaka kula kuku na mayai eeeh!!!!
Ntuzu ni mwanaume wa pekee kwa kweli anatoa hela za vocha mpolee ata ukichepuka hana shida...hahahaa usimwache yule ni wako nishaota ndoto ila kwa kua mimi na wew ni family sio mbaya tuki mshare
 
Hahahaaaaa apa tunawachuna mpaka watembee uchi... Ntuzu, b5-click , PNC 1 , Cardinal06 , hawa ni wanne sasa tugawane...
Wakishindwa kutoa hela basi tutawageuza ma house boy hahahaaa A.K.A kaka wa kazi.
Chagua wako wawili nichie wawili nita hakikisha nawaleta OT waachane umasikin
 
Hata mniloge OT siendi......Imaratee panatoshaaa cute b everlenk
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu ni mwanaume wa pekee kwa kweli anatoa hela za vocha mpolee ata ukichepuka hana shida...hahahaa usimwache yule ni wako nishaota ndoto ila kwa kua mimi na wew ni family sio mbaya tuki mshare

Tatizo ni Ngosha hahahahahahaha wanajua kupenda hawa acha tu ila sasa wakikasirika jamani sijui tutajificha wapi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa apa tunawachuna mpaka watembee uchi... Ntuzu, b5-click , PNC 1 , Cardinal06 , hawa ni wanne sasa tugawane...
Wakishindwa kutoa hela basi tutawageuza ma house boy hahahaaa A.K.A kaka wa kazi.
Chagua wako wawili nichie wawili nita hakikisha nawaleta OT waachane umasikin
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa apa tunawachuna mpaka watembee uchi... Ntuzu, b5-click , PNC 1 , Cardinal06 , hawa ni wanne sasa tugawane...
Wakishindwa kutoa hela basi tutawageuza ma house boy hahahaaa A.K.A kaka wa kazi.
Chagua wako wawili nichie wawili nita hakikisha nawaleta OT waachane umasikin

Mumy mimi niachie huyu Cardinal06 anajifanya mgumu sana, b5-click huyu naye niachie niendelee kumtepesha zaidi .
 
Last edited by a moderator:
.

Kumbe ndo maana siku hizi ananidengulia kumbe kakupata. Ntuzu utanikoma kumbe ndo zako utaka kula kuku na mayai eeeh!!!!

KHaaaaaaaa!!! Wewe hizo ndoto zako zinagonga ikulu kwa Ntuzu embu zishindweeee!!!! Ntuzu ni msweet sana tatizo sasa sisi watoto wa kishua toka OT ni hela ndo mpango mzima......... Lol

Ntuzu ni mwanaume wa pekee kwa kweli anatoa hela za vocha mpolee ata ukichepuka hana shida...hahahaa usimwache yule ni wako nishaota ndoto ila kwa kua mimi na wew ni family sio mbaya tuki mshare

Jamani mbona kuna vurugu sn hapa?
Tatizo nini wapendwa?
everlenk siwezi kula mayai Yetu wenyewe!
cute b penda sn wewe mtoto wetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom