b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,195
- 2,109
tupo tu.pamoja na kubebwa kote kule lakini hamkuona aibu
Na walibebwa haswa... Ila barca dawa yao Chelsea tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo tu.pamoja na kubebwa kote kule lakini hamkuona aibu
Uwiiiii pm nimeblock aseee....ila nidokeze kidogo bhanaaa
Uwiiiii pm nimeblock aseee....ila nidokeze kidogo bhanaaa
Wapi cute b ???? Ndo ushaenda kwa pm? Nitakuchapaaaa!!!! ......lol
Nimekuvulia kiatu kama si kofia..... Kumbe kweli eeee semeji Man U oyeeeeeeee!!!!!!!
Umeenda kuhakikisha niniiiiii? Hahahaaaaahaaa.....nilimwambia Invisible aniondolee iyo option nimalizane na watu ki post post hahahaaa
Aisee.......
Hahahaha!! Upo Shem langu? Ndo nn kunipa location ambayo you are not located?....
Hahahaha!!! Shost weee acha tu!!! Wengine ni Tomaso mpaka tuhakikishe.........nami ntaelekea huko huko kwa wewe ......lol......ila sometym ina raha yake.... Hahahaha.
Karaha kapo duu... ila hapana utakuwa unaombwa namba sana...
Mumy b5-click na Cardinal06 hawajakuomba namba kweli?
Tulia sasaaaaa mbona unataka kunipeperushia njiwa wanguu?? cute b
Nina mpango wa kutocheza tena na wewe....
Karaha kapo duu... ila hapana utakuwa unaombwa namba sana...
Mumy b5-click na Cardinal06 hawajakuomba namba kweli?
Njoo pm nikuambie kitu...hahahaaaa