duh!!!! mkuu rekebisha acha haraka za kuandika inaonyesha mwalimu wako ulikua unampa shida sana
Match end dro!
usimind mkuu haina shida c unajua jf kitu kidogo tu mtu hata kama amesha elewa kukoment ni lazima haina shida wanguYaani unajifanya unajuaaaaaaaaaaaaa haya furahi ww nilikuwa namaanisha kuna c km pole kama imekupa shida ila pia mzito kuelewa na ww
usimind mkuu haina shida c unajua jf kitu kidogo tu mtu hata kama amesha elewa kukoment ni lazima haina shida wangu
Game itaboa bse Barcelona wataitawala mwanzo mwisho na kushinda kirahisi.
Barcelona 3 Juventus 0
Ah!!!! Wapi mtani tafadhali huu ni mwaka wangu wa kucheka kila upande kubali tu huu ulikuwa msimu wako wa kulia kila upande...... Hapana siwezi zinguliwa mpaka nitamani kumwadithia hubby!!!.... Ndoo hiyo inakuja Spain
Ni kesho hiyo katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani.......mchezo wa kuhitimisha mashindano makubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu UEFA CHAMPIONS LEAGUE .......mengi yanategemewa katika mechi hii.
Sasa weka utabiri wako hapa.....
#TeamBarcelona #UCL
messi atapiga goli mbili takatifu huku neymer akiweka kimiani goli moja lililojaa ufundi wa kutosha na kuisisimua jumuiya ya wapenda soka duniani. Goli la Neymer litatokana na pasi bora kabisa kutoka kwa fundi wa mpira duniani yaani messi. Goli la kwanza ambalo litafungwa na Messi katika dakika ya kumi na sita litatokana na pasi nzuri kutoka kwa suarez ambaye atafanya maajabu mengi sana uwanjani ambayo ni nadra kuyashuhudia katika kizazi, hakika itakuwa gumzo kubwa duniani. Dakika tatu kabla ya kipindi cha kwanza kuisha fundi Iniesta atapiga pasi ndefu kutoka katikati ya uwanja na pasi hiyo itamfikia Messi ambapo atafanya manyanga pale na kiwatoka mabeki takriban watatu na kutupia wavun goli moja la ukweli sana. kwa upande wa juve watacheza jihad na kubahatika kupata goli moja ambalo halitaeleweka limefungwaje maana itakuwa ni butua butua tu hamna ubunifu, ufundi wala umaridadi wowote, hiyo ni katika dakika ya themanini na mbili ya mchezo. Hivi ndivyo itakavyokuwa.
chielin kapata injury kumwaza tu messi
juve watagongwa hadi wasahau kwao
Hivi UEFA ndo mashindano makubwa kwenye ngazi ya club?????!!!!
Hivi UEFA ndo mashindano makubwa kwenye ngazi ya club?????!!!!
Maswali mengine bwana