Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

duh!!!! mkuu rekebisha acha haraka za kuandika inaonyesha mwalimu wako ulikua unampa shida sana

Yaani unajifanya unajuaaaaaaaaaaaaa haya furahi ww nilikuwa namaanisha kuna c km pole kama imekupa shida ila pia mzito kuelewa na ww
 
utabiri wangu,magoli mengi kipindi cha pili II> ,28+, corner > 9, not more than one goal frst half I0-1, NO RED CARD, SUBSTUTE NOT TO SCORE-yes.
 
cc. M-mbabe,
sor for not quoting your point its out of my control....

I'm surprised to see so many underestimating juve's chances,

i think Allegri is going to show the full extent of his tactical nous to counter barca's front line, it wont be easy but am fully conviced juve will show up and give barca a lot of problems, CL final is a one off game and it comes down to which team wants to win it more,

Barca are favourites obviously but juve have a good and experienced team which will make for an interesting final.

am out joh, let's call it a day!
#chaooh
 
Kwa sisi watandaza mikeka kesho hiyo mechi hatuigusi. Timu yangu ishatoka zamani hata wamesahau kama waliwahi shiriki UEFA hiyo kesho mi nalalal tu
 
chielin kapata injury kumwaza tu messi

juve watagongwa hadi wasahau kwao
 
Lolote laweza kutoka barca 1 juve 3
 
Fainali rahisi, Barca watashinda zaid ya goli 3
 
Yaani unajifanya unajuaaaaaaaaaaaaa haya furahi ww nilikuwa namaanisha kuna c km pole kama imekupa shida ila pia mzito kuelewa na ww
usimind mkuu haina shida c unajua jf kitu kidogo tu mtu hata kama amesha elewa kukoment ni lazima haina shida wangu
 
Ah!!!! Wapi mtani tafadhali huu ni mwaka wangu wa kucheka kila upande kubali tu huu ulikuwa msimu wako wa kulia kila upande...... Hapana siwezi zinguliwa mpaka nitamani kumwadithia hubby!!!.... Ndoo hiyo inakuja Spain

Hahaaa mtani yangu macho pale utakapo anza tena kuongea yale maneno ya kupewa ban teeeehe teeehe.... Yakule yashaisha 😡😡😡 ...... Leo bibi atakuwa mtamu kama mcharo na ushindi wetu tunaurudisha Turin bila wasiwasi
 
Ni kesho hiyo katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani.......mchezo wa kuhitimisha mashindano makubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu UEFA CHAMPIONS LEAGUE .......mengi yanategemewa katika mechi hii.

Sasa weka utabiri wako hapa.....


#TeamBarcelona #UCL

Hivi UEFA ndo mashindano makubwa kwenye ngazi ya club?????!!!!
 
messi atapiga goli mbili takatifu huku neymer akiweka kimiani goli moja lililojaa ufundi wa kutosha na kuisisimua jumuiya ya wapenda soka duniani. Goli la Neymer litatokana na pasi bora kabisa kutoka kwa fundi wa mpira duniani yaani messi. Goli la kwanza ambalo litafungwa na Messi katika dakika ya kumi na sita litatokana na pasi nzuri kutoka kwa suarez ambaye atafanya maajabu mengi sana uwanjani ambayo ni nadra kuyashuhudia katika kizazi, hakika itakuwa gumzo kubwa duniani. Dakika tatu kabla ya kipindi cha kwanza kuisha fundi Iniesta atapiga pasi ndefu kutoka katikati ya uwanja na pasi hiyo itamfikia Messi ambapo atafanya manyanga pale na kiwatoka mabeki takriban watatu na kutupia wavun goli moja la ukweli sana. kwa upande wa juve watacheza jihad na kubahatika kupata goli moja ambalo halitaeleweka limefungwaje maana itakuwa ni butua butua tu hamna ubunifu, ufundi wala umaridadi wowote, hiyo ni katika dakika ya themanini na mbili ya mchezo. Hivi ndivyo itakavyokuwa.

Wewe ndo umetabiri
 
Hivi UEFA ndo mashindano makubwa kwenye ngazi ya club?????!!!!

Ndio, hii ndo Ligi ya Mabingwa, wajinga wajinga wa EPL huwa wanachemka kabisa kwa mabingwa wenzao, wakiwa kwao wanajiona wao ndo bora na kuona ligi yao ndo ngumu.
 
Maswali mengine bwana

Umiza kichwa kidogo mkuu.....nimeuliza hivo coz mi nilidhani mashindano makubwa ngazi ya club ni yale mashindano ya dunia ngazi ya club.....Ila UEFA ni maarufu na tajiri
 
Back
Top Bottom