Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Dk 1201-1Wataanza kufunga Barca,Juventus watasawazisha.Mikwaju ya Penalty Barcelona 3-4 JuventusNdoo inaenda TorinoUshindani mwingine utakuwa ni NIKE /BARCA VS ADIDAS/ JUVENTUS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha alafu mkuu wale vinyuki maua ant messi Gang Chomba na Frank Wanjiru wamepotea kabisa
Pirlo kama kawa kazi yake ni kuuamrisha mpira uende wapi,huku akipewa ulinzi na watu hawaMarchisio,Vidal,Pogba,atapiga pasi zenye akili na Morata na Tevez ndo watafanya yaoBarcelona wajipangeHii si mechi ya kizembe ni ya machozi, jasho na damu labda waamue tu kucheza a boring football sema Juve ni wazuri kwa kugeuza mpira na kufanya uchezwe katika style wanayoitaka wao Barca wakikubali tu kucheza game yao baasi kupona ni bahati
Dk 1201-1Wataanza kufunga Barca,Juventus watasawazisha.Mikwaju ya Penalty Barcelona 3-4 JuventusNdoo inaenda TorinoUshindani mwingine utakuwa ni NIKE /BARCA VS ADIDAS/ JUVENTUS
Barcelona ni mlaini na mwepesi sana kama KY.
Lolote laweza kutoka barca 1 juve 3
Viol mbona tunaaka kujiumiza bila sababu za msingi kwa kilazimisha nafsi yako iamini kitu ambacho hakiwezi kutokea na hata wewe pia unajua hakiwezi kutokea. Kuna mambo mengine ni ya kikanuni zaidi hivyo jibu lako likiwa tofauti na wengine unakuwa umekosa. kwa kusema Juve anachukuwa kikombe unakuwa umeenda kinyume na matakwa ya kanuni hivyo y
umekosa.
Barca na Refa wao Juve na washabiki wao...
Juve anashinda itakuwa 3-1 au 2-1,hata Bayern wengi waliamini hivo
Kwani msimu huu hawajapoteza mechi yeyote?Barca hii ya kumuweka mtu dakika 120, labda Messi na Naymar wawe Bench.
Praise: Scholes reckons Messi is the best he's ever shared a pitch with[/h]
Snub: Scholes reckons Messi is better than Ronaldo hapana mate!! watu wanaichukulia kizembe juve, but hyo ni ngumu sana, unakumbuka game yenu na celta vigo? waliwakazia dk 76 methiew akaamua MSN haikuonekana, malaga first round unakumbuka? let's wait utaniambia