Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mpira ni Half time bao ni Barca 1 Juventus 0
 
Huyu mturkish hata dk 1 ya extra time hamna, pamoja na kuonyesha kadi 2?
 
Binafsi naona mzee Pirlo atolewe, hakuwepo kabisa uwanjani. Juve wangeanza na vijana Pirlo angeingizwa kipindi cha pili mwishoni. Juve walionekana wapo pungufu (midfield) sababu ya u-slow wa Pirlo.
 
Yaan nipo kibanda umiza mashabiki wa man u, chelsea, aseno, real madrid, man city wote wameungana kushabikia juve, bora barca tushinde tu!
 
mi barca damu ila leo nimeamua kushabikia Juve nataka ubishi na na watu hapa nyumbani

Hahahaaaa mimi leo naondoka na wachumba wawili... Cardinal06 na PNC 1 .
Lazma leo barca wafungwe wasilete ujinga kujiangusha angusha kama mabua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom