Mechi ya Barcelona na Madrid saa ngapi?

Mechi ya Barcelona na Madrid saa ngapi?

Tumekosa uhondo! Cha kufanya,ni kusogea kitandani tu!

Stay tuned jf, hutakosa kabisa-unaperezi thread nyingine ukirudi unakuta updates si unajua tena jf ni pamoja siku zote na hata milele-Amina.
 
Dstv wameniboa sana, wasiniudhi nikanunua kin'gamuzi. Nimenua dstv kwa lengo la kuangalia la liga tu na hasa Barcelona na si vinginevyo.
 
leo DSTV wametuweza kwa kweli! hapa inabidi tutumie updates za goal.com ili kupata matokeo kwa wakati
 
Huyu Puyol mbona anaharibu raha??? Naona Madrid wataanza kunywa nyingi!
 
Yule Mourinho aliyesema hakubali leo kuwa kichwa cha mwendazimu anaondoka mnyonge.
Ametandikwa 2-1
 
Wadau vip!? Game halijaisha? Na nan kidume??
 
Duh hii kali yaani muda wa kuandika thread hii si ungegoogle tu kujua.
 
Back
Top Bottom