kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Naomba kujuzwa muda mechi hii itakapochezwa. Naona kila mkiandika mnaandika mambo mengi ila hamsemi match ni saa ngapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuSio kili na Uganda.. ni Kilimanjaro Queen na Kenya. Game itapigwa saa 10 za jioni hii.
Sio kili na Uganda.. ni Kilimanjaro Queen na Kenya. Game itapigwa saa 10 za jioni hii.
Ndio inaanzaNaomba kujuzwa muda mechi hii itakapochezwa. Naona kila mkiandika mnaandika mambo mengi ila hamsemi match ni saa ngapi.