Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii mechi nayo Manchester United waliokolewa na mganga inaonyeshakiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
Kwa hiyo kuna uchawi wa kuzuia tu, ila wa kufunga hakuna!! Nilitarajia mikia aka mbumbumbu fc wachezee kipigo cha mbwa mwizi kwa kutumia uchawi.kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
Yanga hawanatabia za mbumbumbu hivi,ww utakuwa mtoto wa Bi Hindukiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?