Mechi ya Jana Simba na Yanga.... tumekubali. haya mambo yana nafasi yake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
 
Hii mechi nayo Manchester United waliokolewa na mganga inaonyesha
 
Attachments

  • Screenshot_2018-10-01-13-42-16.png
    Screenshot_2018-10-01-13-42-16.png
    28 KB · Views: 35
Wewe siyo Yanga, peleka wanga wako kwenu huko mnako ogesha wachezaji na bench I LA ufundi lote maji ya maiti.
kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
 
simba wana kikosi cha kichovu kabisaa ambacho hakijawahi tokea ndani ya miaka10 iliyopita, washambuliaji wazeee wenye technics za kizamani, yaani wao ni 'chenga twawala tuu' msipojirekebisha msimu huu mtabakia hivyo hivyo 'ooohooo tumewapiga sana chenga lakini tumeshindwa ku-score' nyambafu zenuu nyie
 
Mbona kocha wa Yanga alieleza vizuri sana baada ya mechi? Na alichokisema kocha wa Yanga kina ukweli 90% . Hizo nyingine ni hadithi za alfu hulela na karumekenge. Uchawi fyekelea mbali
 
Sasa kama tunaweza kuloga kwanini timu ya taifa inaishia stage ya mwanzo na kutolewa

Mpira ni sayansi fuata procedure ushinde
 
Simba na yanga ni timu zinazofahamiana muda mrefu.
Mara nyingi imetokea tibu dhifu ikaifunga timu nzuri.
Mwaka jana tuliwafunga Yanga huku Simba tukiwa dhaifu ki pesa na tukiwa na wachezajj pungufu, kwa kadi nyekundu ya Mkude.
Simba na Yanga sio mechi rahisi kama wengi mnavyofikiria.
 
Kwan tako zako zinakuwashawasha..!! Maana naona unakurupuka tuuu
 
kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
Kwa hiyo kuna uchawi wa kuzuia tu, ila wa kufunga hakuna!! Nilitarajia mikia aka mbumbumbu fc wachezee kipigo cha mbwa mwizi kwa kutumia uchawi.
 
Kama kuroga basi mechi ya kuroga ilikuwa dhidi ya Township rollers . Ile ndio ilikuwa mechi muhim sana sana.
 
kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga tuliingia kuzuia tusifungwe tu. hakukuwa na lingine. jamaa walituzidi sana na ilikuw atupigwe bao si chini ya mbili. lakini wazee waliamua nao kuhangaikia team yetu isiaibishwe na matokeo yake tumeyaona. huu uchawi hatuwezi kuzifanyia na tema nyingine hasa mechi za kimataifa?
Yanga hawanatabia za mbumbumbu hivi,ww utakuwa mtoto wa Bi Hindu
 
Back
Top Bottom