Mechi ya jana Yanga na Simba ndiyo kipimo cha ustaarabu wa mashabiki

Mechi ya jana Yanga na Simba ndiyo kipimo cha ustaarabu wa mashabiki

Refa ndio aliwabeba Yanga kwa kuwapa penat Simba....

Maana isingekuwa vile ilibidi Yondani apewe red card kwasababu alicheza rafu akiwa ni mtu wa mwisho....na hapo ndipo zile HAMSA mngezipokea kwa mikono miwili kengemaji nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano ile faulo ingepigwa nje ya kumi na nane je unajuaje kama Francis Kahata angekosa ile faulo? Hv nyinyi watu was Yanga siku zote mnajipambanua kua na kipimo cha halo ya juu cha ustaarabu hv mchezaji wenu ngasa hakuwahi kumpiga kichwa mchezaji mwenzake? Wachezaji wenu waliwahi kumpiga refa he kama nyinyi in wastaarabu mnawezaje kukaa na wachezaji wa hovyo!!
 
Yanga ni watu wastaarabu sana, ile penalty kama ingetolewa upande wetu, hakika hakuna kiti kingebaki pale taifa + kutapakaza mauchafu ( nadhani mmenielewa ) uwanja mzima. Hawa jamaa hawafai kabisa, sisi Yanga kama tunayachukulia kama sehemu ya mchezo tu.
 
Hii mechi ya jana kwa ile penati yenye utata vile.

1. Ingekuwa imetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia viti vyote uwanjani vinavyong'olewa. Hapo ndiyo utashuhudia mashabiki wa Yanga ni wastahimilivu, wastaarabu mno.

2. Ile penati ingetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia leo Haji Manara anavyohaha kila media na CD mkononi kuonyesha kilichotokea. Hapo ndiyo utaelewa ustaarabu wa viongozi ulivyo kwa hizi timu.

3. Ukija mitaani, ingekuwa ile penati imetolewa upande wa Yanga, ilikuwa mashabiki wa Yanga wote nchi nzima wawe wamejificha. Hapo ndiyo utaelewa mashabiki wa mikia wengi ni watoto na wavuta bangi; wanabadirika kabisa wanakuwa vichaa. Ungeshudia pikipiki zinavyoendeshwa kwa fujo wangeshinda jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo kila shabiki anaweza kuingia choo cha upande wowote, kule kwa mbumbumbu kunatisha hatari. Sink za kunawia wanakojolea. Rage waelimishe watu wako
 
Kwa mfano ile faulo ingepigwa nje ya kumi na nane je unajuaje kama Francis Kahata angekosa ile faulo? Hv nyinyi watu was Yanga siku zote mnajipambanua kua na kipimo cha halo ya juu cha ustaarabu hv mchezaji wenu ngasa hakuwahi kumpiga kichwa mchezaji mwenzake? Wachezaji wenu waliwahi kumpiga refa he kama nyinyi in wastaarabu mnawezaje kukaa na wachezaji wa hovyo!!
Goli moja la mkono la Tambwe,mkavunja viti uwanja mzima. Yangefungwa mawili kama yale ninavyowajua nyie guluguja mngevamia kuvunja ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom