kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Hahaha mkuu kuna mchezaji wetu anaitwa Gasper Watamkoma jamaa ni mchezaji bora wa mkoa wa geita watamkoma aisee .
Mkuu huyu jamaa ni shida hadi ndanda walimkubali walipigwa vyenga vya hatari mpaka wakaanza kumchezea rafu kila alipokamata mpira.Mchezaji bora wa Geita??..ha haaa!.. kuwa serious mzee huyo mchunga ng'ombe na kina Ajibu wapi na wapi
aaaaaaaahUshirombo fc watabaki kumshangaa Mavugo tu badala ya kucheza
Kwa hiyo Mkuu unataka kuniambia baada ya jana wa Matopeni kufungwa hiyo match na Ushirombo haitakuwepo tena?Wamatopen wakishinda wanatafuta mechi ya kirafiki wakifungwa ratiba ya mechi za kirafiki hakuna