kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Hahaha mkuu kuna mchezaji wetu anaitwa Gasper Watamkoma jamaa ni mchezaji bora wa mkoa wa geita watamkoma aisee .
Mchezaji bora wa Geita??..ha haaa!.. kuwa serious mzee huyo mchunga ng'ombe na kina Ajibu wapi na wapi