Mechi ya kirafiki: Mashabiki wa SIMBA vs Mashabiki wa YANGA

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Natamani iandaliwe mechi hiyo iwe official kabisa pale kwa mkapa..

Wachezaji wawepo mashabiki kindakindaki wa timu hizo pendwa nchini..ikibidi ni wale tu ambao wana fahamika..yaani watu maarufu mfano ..viongozi wa kidini, kisiasa, kielimu nk. wasanii, waburudishaji, watu wa media, social netwoks wafanyabiashara..na wote wenye ushawishi.

yanga...simba TWENDE KAZI ...
Usajili uanze

Pendekeza wachezaji unaowataka katika kikosi cha timu yako
 
Tuvimbiane wakuu...watu maarufu wanaoshabikia simba au yanga
 
Kipi kipimo Cha umaarufu?
mtu ambaye hata ukisearch jina lake google unalipata fasta kwenye matokeo matano ya juu ..au kwenye zile suggestion index pale...hao ni ktk makundi niliyotaja kwenye post no 1 hapo..
 
Akitokea mtu akadhamini hili pambano atavuna Sana hela.
 
Mko mmeenda mbali
Kama vipi jf hapa tucheze wanaume na wanawake .kuna mdada namtamani sana
 
Ccm watafanya mechi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…