Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Baada ya match ya Power Dynamo tutasikia mengi, usiwe na wasiwasi acha waendelee kucheza match gizani tuKila match lazima waruhusu goal halafu eti yule msasambuaji Ahmed anasema wana ukuta wa Berlin