Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Mchezo ni saa 2 usiku

Lineup ya Simba

simbasctanzania-20220831-0001.jpg
 
Mpira una matumizi makubwa ya nguvu, Gadiel yuko chini wakati mchezaji wa Al hilal naye yuko chini, refa anashindwa ampe faida nani
 
17"
Gadiel Michael anatoka baada ya kushindwa kuendelea na mchezo kutokana na majeraha aliyoyapata
 
18'
Nelson Okwa anaingia kuchukua nafasi ya Gadiel Michael ambaye ametoka muda mfupi baada ya kupata majeruhi
 
Enonga kwa pasi hii, sijui
 
21'
Freekick wanapata Al hilal
 
Shuti la freekick ni Offtarget
 
Back
Top Bottom