Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mchezo ni saa 2 usiku

Lineup ya Simba

View attachment 2341193
JamiiForums-574240167.gif
 
Al hilal wamemchezea rough Dejan imebidi akae tu chini
 
Simba inawabidi wacheze hivyo hivyo bila kukimbia kimbia sana
 
Nina mashaka sana na wing backs za simba ..nguvu zao

Ukiwakosa kapombe na Mohamed Hussen, itakuwa hatari..
Nawaza kasi ya za forward za waarabu kaskazini . CL
 
Hahahahaha mashabiki wa Al Hilal inaonekana karibia wote walikuwa wanafatilia live Simba day

Naona nao wamewasha tochi za simu wanamulika
 
Hichi kikosi cha mchongo. Al Hilal watakuwa wamecompromise na ssc ili wasiwadhalilishe wakati wao wamealikwa tuu
 
33'
Mpira unaingia kambani kwenye lango la Simba wakati huo huo na filimbi ya mwamuzi ikilia
 
Al Hilal wanapaisha hapa
 
36

Al hilal wanafanya mashambulizi mawili, moja lilishindikana baada ya kushindwa kumalizia mpira wa mwisho na lingine ni shuti liliookolewa na kipa
 
38
Simba inapata kona
 
Back
Top Bottom